Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwasili katika Kituo cha Kupigia Kura cha Idara ya Maji Chamwino Ikulu kwa ajili ya kupiga Kura leo tarehe 28 Oktoba 2020.

Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa wamepanga mstari pamoja na Wapiga
kura wengine katika Kituo cha Kupigia Kura cha Idara ya Maji kilichopo katika
Kijiji cha Chamwino Ikulu mkoani Dodoma leo tarehe 28 Oktoba 2020.
Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakifanya uhakiki kabla ya kupiga Kura
katika Kituo cha Kupigia Kura cha Idara ya Maji Chamwino kwa ajili ya kupiga
Kura leo tarehe 28 Oktoba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakipiga kura ya Urais na Mbunge katika Kituo cha Kupigia Kura cha Idara ya Maji kilichopo katika Kijiji cha Chamwino Ikulu mkoani Dodoma leo tarehe 28 Oktoba 2020.
0 comments:
Post a Comment