METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, October 23, 2020

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli azungumza na Wananchi wa Arusha mjini


Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Arusha katika mkutano wa Kampeni za Urais uliofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo tarehe 23 Oktoba 2020. 

Wananchi wa Arusha wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa Kampeni za Urais uliofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo tarehe 23 Oktoba 2020.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com