Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Korogwe katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika viwanja vya Chuo cha Ualimu Korogwe mkoani Tanga leo tarehe 20 Oktoba 2020.

Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwaelekeza Wananchi namna ya kumpigia Kura yeye pamoja na Mgombea Mwenza
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan katika Karatasi ya kupigia Kura katika
mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika viwanja vya Chuo cha Ualimu
Korogwe mkoani Tanga leo tarehe 20 Oktoba 2020
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi wa Korogwe mara baada
ya kuwasili katika uwanja wa Mkutano wa Kampeni leo tarehe 20 Oktoba 2020.
Sehemu ya
Wananchi wa Korogwe waliohudhuria mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia
Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja
vya Chuo cha Ualimu Korogwe.
0 comments:
Post a Comment