METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, October 1, 2020

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Tunduma mkoani Songwe

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Tunduma katika mkutano wa Kampeni za CCM zilizofanyika katika viwanja wa Nyerere Tunduma mkoani Songwe leo tarehe 1 Oktoba 2020.

Wananchi wa mji wa Tunduma mkoani Songwe wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com