METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, October 1, 2020

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli azungumza na Wananchi wa Vwawa mkoani Songwe


Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi Vwawa katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Tacri Mbimba mkoani Songwe leo tarehe 01 Oktoba 2020.

Wananchi wa Vwawa mkoani Songwe wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwahutubia katika uwanja wa Tacri Mbimba mkoani Songwe leo tarehe 01 Oktoba 2020.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com