METDO Tanzania

METDO Tanzania

Sunday, September 6, 2020

MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA NYASHIMO-BUSEGA MKOANI SIMIYU



Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nyashimo Busega mkoani Simiyu katika mikutano yake ya Kampeni za Urais wakati akielekea Mkoani Mwanza.

Sehemu ya Wananchi wa Nyashimo Busega wakifatilia mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli aliposimama wakati akielekea Mwanza.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com