METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, September 3, 2020

MGOMBEA URAIS WA CCM DKT MAGUFULI AJIMWAGA STEJINI NA CHEGE CHIGUNDA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI SHI|NYANGA


 Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza mziki pamoja na Msanii wa Bongo Flavour Chege Chigunda mara baada ya kuhutubia wananchi wa Shinyanga mjini katika Uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga.


 Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Msanii wa Bongo Flavour Chege Chigunda wakati akipanda kwenye Jukwaa la Wasanii katika Uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com