METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, September 22, 2020

Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi Itigi mkoani Singida

Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akicheza mziki pamoja na baadhi ya Wagombea Ubunge wa CCM kwa mkoa wa Singida mara baada ya kuhutubia mkutano wa Kampeni Itigi mkoani Singida leo tarehe 22 Septemba 2020

Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaga baadhi ya Wagombea Ubunge wa CCM kwa mkoa wa Singida mara baada ya kuhutubia mkutano wa Kampeni Itigi mkoani Singida leo tarehe 22 Septemba 2020

Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono na kuwaaga wananchi wa Itigi mara baada ya kuwahutubia katika mkutano wa Kampeni wilayani Manyoni mkoani Singida.

Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru wananchi wa Itigi mara baada ya kuhutubia mkutano wa Kampeni leo  tarehe 22 Septemba 2020 mkoani Singida.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com