Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili Mafinga kwa ajili ya kuwahutubia wakazi wa eneo hilo wakati akitokea mkoani Iringa.

Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wananchi Mafinga mkoani Iringa wakati akielekea Makambako mkoani
Njombe katika muendelezo wa Kampeni za CCM leo tarehe 29 Septemba 2020.
Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwapungia mkono Wananchi wa Mafinga mara baada ya kumaliza kuwahutubia leo
tarehe 29 Septemba 2020.
Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimvalisha Kofia Bibi aliyefahamika kwa jina moja Bibi Zainabu mara baada ya
kuwahutubia wananchi wa Mafinga mkoani Iringa
Sehemu ya
Wananchi wa Mafinga wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM
Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati aliposimama Mafinga leo tarehe
29 Septemba 2020.
0 comments:
Post a Comment