Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza mziki pamoja na Msanii wa Kizazi kipya Ray Van mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Mbeya katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Airport jijini Mbeya leo tarehe 30 Septemba 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza mziki pamoja na kijana mdogo aliyejulikana kwa jina moja la Grace Kichori (5) mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Mbeya katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Airport jijini Mbeya leo tarehe 30 Septemba 2020.

Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Wasanii (hawaonekani pichani) mara baada ya kuwahutubia wananchi wa
Mbeya katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Airport
jijini Mbeya leo tarehe 30 Septemba 2020.
Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa ameshika mkungu wa ndizi aliopewa na Msanii wa Bongo Flavor Ray Van mara
baada ya kuwahutubia wananchi wa Mbeya katika mkutano wa Kampeni za CCM
uliofanyika katika uwanja wa Airport jijini Mbeya leo tarehe 30 Septemba 2020.
0 comments:
Post a Comment