Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Isawima Kaliua mkoani Tabora katika
muendelezo wa Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020.

Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Wananchi wa Kijiji cha Nguruka Uvinza mkoani Kigoma wakati akielekea mkoani
Tabora leo tarehe 20 Septemba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na Wananchi wa Uvinza mkoani Kigoma katika muendelezo wa
Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa KALIUA mkoani Tabora katika mkutano wa Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020
0 comments:
Post a Comment