Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wananchi wa Igurusi Mbarali mkoani Mbeya katika mikutano ya
Kampeni za CCM leo tarehe 29 Septemba 2020.

Mgombea Urais
kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wananchi wa Chimala mkoani Mbeya katika mikutano ya Kampeni za
CCM leo tarehe 29 Septemba 2020
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na wananchi wa kijiji cha Halali Wanging’ombe mkoani
Njombe wakati akielekea mjini Mbeya leo tarehe 29 Septemba 2020
Wananchi
wa Igawa mkoani Mbeya wakishangilia mara baada ya Mgombea Urais kupitia Chama
cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili wakati
akitokea mkoani Njombe leo tarehe 29 Septemba 2020.
0 comments:
Post a Comment