Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi
CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na Wananchi wa Ikungi mkoani Singida wakati akielekea
Singida mjini kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni za Urais kwa upande wa Chama cha
Mapinduzi CCM.
Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiandika jambo katika hotuba yake kabla ya
kuanza kuzungumza na Wananchi wa Ikungi mkoani Singida.
0 comments:
Post a Comment