Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika
(SADC) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifatilia Mkutano wa 40 wa Wakuu wa
Nchi na Serikali wa SADC uliokuwa ukifanyika kwa njia ya Mtandao kabla ya
kukabidhi Uenyekiti wa SADC kwa Rais wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi
aliyewakilishwa na Balozi wa Tanzania hapa nchini Monica Patricio Clemente kulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 17 Agosti, 2020.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini
mwa Afrika (SADC) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika mkutano
wa 40 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC uliokuwa ukifanyika kwa njia ya
Mtandao kabla ya kukabidhi Uenyekiti wa SADC kwa Rais wa Msumbiji Filipe
Jacinto Nyusi aliyewakilishwa na Balozi wa Tanzania hapa nchini Monica Patricio
Clemente Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 17 Agosti, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi Uenyekiti wa (SADC) kwa Balozi wa Msumbiji hapa nchini Monica Patricio Clemente ambaye alipokea kwa niaba ya Rais wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akifatilia Mkutano wa 40 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa (SADC) uliokuwa
ukifanyika kwa njia ya Mtandao mara baada ya kukabidhi Uenyekiti wa SADC kwa
Rais wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi aliyewakilishwa na Balozi wa Tanzania
hapa nchini Monica Patricio Clemente Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 17
Agosti, 2020. PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment