METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, July 21, 2020

MAMA SALMA KIKWETE MSHINDI JIMBO LA MCHINGA

Mama Salma Kikwete ameibuka mshindi kati wa wagombea 21 waliotia nia kwenye kura za maoni Jimbo la Mchinga kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM baada ya kupata kura 92,Ahmaid Saidi Mderu kura 68 Riziki Lulida kura 62 na Mohamed Abdulaziz kura 52. Idadi ya wapiga kura ilikuwa 421.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com