Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakikaribishwa na Katibu wa CCM wa Wilaya ya Ruangwa, Barnabas Essau (kulia) wakati walipowasili kwenye Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo kuchukua fomu za kuwania tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa, Julai 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa fomu za kuwania tena ubunge wa jimbo la Ruangwa na Katibu wa CCM wa wilaya ya Ruangwa, Barnabas Essau kwenye Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo, Julai 15, 2020. Kushoto ni mkewe Mary Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akirejesha fomu za kugombea tena ubunge wa Jimbo la Ruangwa kwenye ofisi ya CCM ya wilaya ya Ruangwa baada ya kuzichukua na kuzijaza,kushoto ni Mkewe Mary Majaliwa, Julai 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu baada ya kurejesha fomu za kuwania tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa, Julai 15, 2020. Kulia ni Katibu wa CCM wa wilaya ya Ruangwa, Barnabas Essau. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment