Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),
Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage, akizungumza katika Mkutano wa NEC na
Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa
Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2020, Mkutano ambao umefanyika loe 27, Mei
2020, JNICC Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage, akiendesha Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2020, Mkutano ambao umefanyika loe 27, Mei 2020, JNICC Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera, akizungumza katika
Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na Maadili ya
Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2020, Mkutano ambao umefanyika loe 27, Mei 2020, JNICC Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu. Humphrey Polepole
akichangia hoja katika Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2020, Mkutano ambao umefanyika leo 27, Mei 2020, JNICC Jijini Dar es Salaam.
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Mstaafu.Francis
Mutungi akifuatilia Mkutano wa NEC naVyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2020, Mkutano ambao umefanyika loe 27, Mei 2020, JNICC Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment