METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, March 18, 2020

WIZARA YA AFYA- IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII YAENDELEA KUJIHADAHARI MA MLIPUKO WA CORONA


Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wakitakasa mikono kwa dawa maalum kabla ya kuingia katika ofisi zao ikiwa ni tahadhari wa mlipuko wa homa ya maoafu inayotokana na virusi vya Corona.



Baadhi ya wageni na wateja waliofika katika ofisi za Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupata huduma wakitakasa mikono kwa dawa maalum kabla ya kuingia katika ofisi mbalimbali ikiwa ni tahadhari wa mlipuko wa homa ya maoafu inayotokana na virusi vya Corona.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com