Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipima joto la mwili kabla ya kuingia katika ukumbi wa Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma kwa ajili ya kupokea Taarifa ya CAG kwa Mwaka 2018/2019 pamoja na Taarifa ya TAKUKURU leo tarehe 26/03/2020.
Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipima joto la mwili kabla ya kuingia katika ukumbi wa Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa akipima joto la mwili kabla ya kuingia katika ukumbi wa Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Spika wa Bunge Job Ndugai akipima joto la mwili kabla ya kuingia katika ukumbi wa Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu waRais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu MkuuKiongozi Balozi John Kijazi, Spika wa Bunge Job Ndugai wakwanza kushotowaliokaa, akifatiwa na CAG Charles Kichere, Mkurugenzi Mkuu waTAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo wapili kutoka kulia waliokaapamoja na Wafanyakazi wa O5si ya TAKUKURU na CAG, Ikulu yaChamwino mkoani Dodoma.Picha namba 19. Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG CharlesKichere akisoma Muhtasari wa Taarifa yake ya Mwaka 2018/2019 katikaIkulu ya Chamwino mkoani DodomaPicha namba 17. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu waRais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu MkuuKiongozi Balozi John Kijazi, Spika wa Bunge Job Ndugai wakwanza kushotowaliokaa, akifatiwa na CAG Charles Kichere, Mkurugenzi Mkuu waTAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo wapili kutoka kulia waliokaapamoja na Wafanyakazi wa O5si ya TAKUKURU na CAG, Ikulu yaChamwino mkoani Dodoma.Picha namba 19. Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG CharlesKichere akisoma Muhtasari wa Taarifa yake ya Mwaka 2018/2019 katikaIkulu ya Chamwino mkoani DodomaPicha namba 17. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu waRais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu MkuuKiongozi Balozi John Kijazi, Spika wa Bunge Job Ndugai wakwanza kushotowaliokaa, akifatiwa na CAG Charles Kichere, Mkurugenzi Mkuu waTAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo wapili kutoka kulia waliokaapamoja na Wafanyakazi wa O5si ya TAKUKURU na CAG, Ikulu yaChamwino mkoani Dodoma.Picha namba
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG CharlesKichere akisoma Muhtasari wa Taarifa yake ya Mwaka 2018/2019 katikaIkulu ya Chamwino mkoani DodomaPicha namba 13. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya kutoka kwenye ukumbi wa Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma ambapo alipokea Ripoti mbili za Mwaka 2018/2019 kutoka Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa PCCB pamoja na Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Makamu wa Rais Samia Suluhu, pamoja Wazir iMkuu Kassim Majaliwa wakati wakitoka kwenye ukumbi wa Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
0 comments:
Post a Comment