METDO Tanzania

METDO Tanzania

Sunday, March 22, 2020

RAIS DKT, JOHN POMBE MAGUFULI AMESALI IBADA YA JUMAPILI KATIKA KANISA LA MTAKATIFU PAULO WA MSALABA JIMBO KUU KATOLIKI LA DODOMA. MACHI 22, 2020


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amejumuika pamoja na waumini wengine wa Kanisa la Mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo kuu la Dodoma katika Ibada ya jumapili iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Onesmo Wissi, ambapo Mhe. Rais amewataka Watanzania kutotishwa na ugonjwa Corona na badala yake wamtangulize Mungu mbele kwa Maombi huku wakizingatia tahadhari zote za kujikinga na ugonjwa huo. Machi 22, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitakiana amani na waumini wengine wa Kanisa la Mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo kuu la Dodoma bila kushikana mikono katika Ibada ya jumapili iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Onesmo Wissi, ambapo Mhe. Rais amewataka Watanzania kutotishwa na ugonjwa Corona na badala yake wamtangulize Mungu mbele kwa Maombi huku wakizingatia tahadhari zote za kujikinga na ugonjwa
huo. Machi 22, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini wa Kanisa la Mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo kuu la Dodoma na Watanzania katika Ibada ya jumapili iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Onesmo Wissi, ambapo Mhe. Rais
amewataka Watanzania kutotishwa na ugonjwa Corona na badala yake wamtangulize Mungu mbele kwa Maombi huku wakizingatia tahadhari zote za kujikinga na ugonjwa huo. Machi 22, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Sakramenti Takatifu, alipoungana na waumini wengine wa Kanisa la Mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo kuu la Dodoma katika Ibada ya jumapili iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Onesmo Wissi, ambapo Mhe. Rais amewataka Watanzania kutotishwa na ugonjwa Corona na badala yake wamtangulize Mungu mbele kwa Maombi huku wakizingatia tahadhari zote za kujikinga na ugonjwa huo. Machi 22, 2020
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com