Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, akiwa na Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Katibu Mkuu Kiongozi BaloziJohn Kijazi katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali baada ya kuwaapisha katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, akiwa na Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali mpya wa Jeshia
la Magereza Suleiman M. Mzee na Maafisa waandamizi wa jeshi hilo baada ya kumuapisha katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, akiwa na Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali mpya wa Jeshi
la Zimamoto na Uokoaji John Masunga na Maafisa waandamizi wa jeshi hilo baada ya kumuapisha katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020
0 comments:
Post a Comment