METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, February 12, 2020

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA USALAMA NA MAADILI PAMOJA NA KAMATI KUU YA CCM (CC). FEBRUARI 12, 2020. LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM



Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Usalama na Maadili kilichofanyika katika Ofisi ndogo za Chama hicho Lumumba jijini Dar es Salaam. Februari 12, 2020.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CC) kilichofanyika katika Ofisi ndogo za Chama hicho Lumumba jijini Dar es Salaam. Februari 12, 2020.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com