Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai,
akizunguza kabla ya Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya
Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam,
Tanzania.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai,
akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Nabimia na Mwakilishi wa CPA Kanda
ya Kusini, Mhe. Benard Sibalatani (Kulia) na Spika wa Bunge la Kenya na
Mwenyekiti wa CPA Kanda ya Afrika, Mhe. Justine Muturi (kushoto), kabla ya Kikao
Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya
Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai,
akifurahi jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Nabimia na Mwakilishi wa CPA
Kanda ya Kusini,Mhe.Benard Sibalatani (Kulia) na Spika wa Bunge la Kenya na
Mwenyekiti wa CPA Kanda ya Afrika, Mhe. Justine Muturi(kushoto), mara ya
kuwakaribisha Katika Ofisi ndogo za Bunge zilizoko Jijini Dar es Salaam, kwenye
Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda
ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania.
: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai,
akiendesha Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya
Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai,
akizungumza kwenye Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya
Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam,
Tanzania.
Mwakilishi wa CPA kutoka Afrika Mashariki(Kenya), Dkt.Makali Mulu,
akizungmza kwenye Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya
Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam,
Tanzania.
Mweka Hazina Msaidizi wa CPA, kwa kanda ya Afrika, Mhe. Elijah Okupa,
akizungmza kwenye Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya
Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam,
Tanzania.
Spika wa Bunge la Kenya na Mwenyekiti wa CPA Kanda ya Afrika, Mhe.
Justine Muturi, akizungmza kwenye Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha
Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es
Salaam, Tanzania.
0 comments:
Post a Comment