Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Ruangwa, wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2015/2020, Desemba 29, 2019.
Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Ruangwa, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2015/2020, Desemba 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment