Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuhairisha Mkutano wa 17 wa Bunge la 11 leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuhairisha Mkutano wa 17 wa Bunge la 11 leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Job Ndugai
akizungumza wakati wa kuhitimisha kikao cha 17 cha Mkutano wa 11 wa
Bunge leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.[/caption]
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Vijijini Mhe. Jason Rwekiza akiwasilisha hoja
binafsi ya kuazimia Bunge kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli
kutokana na kazi nzuri anayoifanya wakati wa kuhitimisha kikao cha 17
cha Mkutano wa 11 wa Bunge leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.
Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mhe. Goodlucky Mlinga akichangia hoja kuhusu
azimio la Bunge kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutokana na
kazi nzuri anayoifanya wakati wa kuhitimisha kikao cha 17 cha Mkutano wa
11 wa Bunge leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.
Mbunge wa Jimbo la Muleba Kaskazini, Mhe Charles Mwijage akichangia
hoja kuhusu azimio la Bunge kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli
kutokana na kazi nzuri anayoifanya wakati wa kuhitimisha kikao cha 17
cha Mkutano wa 11 wa Bunge leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.
Mbunge wa Jimbo la Sumve, Mhe Richard Ndassa akichangia hoja kuhusu
azimio la Bunge kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutokana na
kazi nzuri anayoifanya wakati wa kuhitimisha kikao cha 17 cha Mkutano wa
11 wa Bunge leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.
Mbunge wa Mbunge wa Viti Maalum CCM, Mhe. Amina Mollel akichangia hoja
kuhusu azimio la Bunge kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutokana
na kazi nzuri anayoifanya wakati wa kuhitimisha kikao cha 17 cha
Mkutano wa 11 wa Bunge leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipongezwa na Baadhi ya Mawaziri na
Manaibu Mawaziri mara baada ya kumaliza hotuba yake ya kuhairisha
Mkutano wa 17 wa Bunge la 11 leo tarehe 15/11/2019 jijini
Dodoma.Aliyeshikana naye mkono ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, katikati ni Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Ajira, Vijana, Kazi, Ajira na
Wenye ulemavu Jenista Mhagama.
Kikundi cha Brass Band kikiongoza kuimba wimbo wa taifa wakati wa
kuhairisha Mkutano wa 17 wa Bunge la 11 leo tarehe 15/11/2019 jijini
Dodoma.(Picha na Idara ya Habari – MAELEZO)
Friday, November 15, 2019
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mheshimiwa Ummy A. Mwalimu anapenda kutoa ufafanuzi kuhusu Tamko la Shiri...
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Kusaya akiangalia bamia zilizopandwa na Vijana wanaopata mafunzo katika kambi ya Mkongo leo tar...
-
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amempongeza Mtendaji Mkuu wa timu ya Simba mwanadada Barbra Gonzalez kwa ubunifu na uzalendo wa hali ya juu kwa ...
-
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Mhe. Geoffrey Mwambe, akiwaongoza wataalamu kutoka Wizara hiyo, Wizara ya Mifugo na Uvuvi...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment