Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu –Uwekezaji, Mhe. Angellah Kairuki akizungumza wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Uwekezaji na Katiba na Sheria iliyofanyika katika ukumbi wa Msekwa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 07/11/2019. Semina hiyo imeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya uwekezaji nchini.[/caption]
[caption id="attachment_48670" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji, Dkt. Raphael Chegeni akichangia mada wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Uwekezaji na Katiba na Sheria iliyofanyika katika ukumbi wa Msekwa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 07/11/2019. Semina hiyo imeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya uwekezaji nchini. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu –Uwekezaji, Mhe. Angellah Kairuki na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Najma Giga.[/caption]
[caption id="attachment_48671" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Prof. Longinus Rutasira akitoa maelezo wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Uwekezaji na Katiba na Sheria iliyofanyika katika ukumbi wa Msekwa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 07/11/2019. Semina hiyo imeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya uwekezaji nchini.[/caption]
[caption id="attachment_48673" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Geofrey Mwambe akiwasilisha mada wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Uwekezaji na Katiba na Sheria iliyofanyika katika ukumbi wa Msekwa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 07/11/2019. Semina hiyo imeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya uwekezaji nchini.[/caption]
[caption id="attachment_48675" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wabunge wakifuatilia mada wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Uwekezaji, na Katiba na Sheria iliyofanyika katika ukumbi wa Msekwa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 07/11/2019. Semina hiyo imeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya uwekezaji nchini. (Picha na Idara ya Habari –MAELEZO)[/caption]
Thursday, November 7, 2019
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya kilim...
-
Na Debora Charles (Mtakwimu) Sensa ya watu na makazi ni utaratibu wa kukusanya, kuchambua, kutathimini na kuchapisha na kusamba...
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Mkuu wa Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora Mhe Geofrey Ngupula akikagua ghala la mahindi "Leo nimefanya ziara ya ukaguzi wa chakula wi...
-
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewataka wananchi mkoani humo kuhakikisha wanafika katika mabanda ya kutolea elimu ya sheria ili ...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment