METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, November 27, 2019

MIAKA MINNE YA MAFANIKIO MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Usimamizi wa Kemikali kutoka Mamlaka ya
Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Daniel Ndiyo, akisisitiza jambo kwa A
Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani), Kuhusu Mafanikio ya Ofisi hiyo, ikiwemo ununuzi wa vifaa vya TZS Bilioni 6.5 na Ujenzi wa Maabara za kanda, Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Idara ya Habari-MAELEZO, Jijini Dar es Salaam.

Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko akizungumza na
Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani), kuhusu mafanikio ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ikiwemo ununuzi wa vifaa vya TZS Bilioni 6.5 na Ujenzi wa Maabara za kanda kwa miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano, Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Idara ya Habari-MAELEZO, Jijini Dar es Salaam.

Picha na Idara ya Habari-MAELEZO.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com