Mkurugenzi
Msaidizi Wizara kutoka Idara ya Sera na Uratibu wa Shughuli za Serikali
Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Jackson Samwel akifungua kikao kazi cha mapitio
ya rasimu ya kipeperushi cha taarifa za hali halisi ya utekelezaji wa
Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto
(MTAKUWWA) kilichofanyika Ukumbi wa mikutano wa ofisi hiyo Jijini Dodoma
Oktoba 8, 2019.Mratibu
Taifa wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake
na Watoto (MTAKUWWA) Bi. Happiness Mugyabuso akizungumza jambo wakati
kikao kazi cha mapitio ya rasimu ya kipeperushi cha taarifa/takwimu za
hali halisi ya utekelezaji wa MTAKUWWA walipokutana Oktoba, 8, 2019
Jijini Dodoma.Mshauri
elekezi kutoka kampuni ya LEDECO Adv. Clarence Kipobota akiwasilisha
mada wakati wa kikao kazi cha mapitio ya rasimu ya kipeperushi cha
taarifa/takwimu za hali halisi ya utekelezaji wa MTAKUWWA walipokutana
Oktoba, 8, 2019 Jijini Dodoma.Afisa
Maendeleo ya Jamii Mwandamizi kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Bi. Rennie Gondwe akiwasilisha hoja wakati
kikao cha mapitio rasimu ya kipeperushi cha taarifa/takwimu za hali
halisi ya utekelezaji wa MTAKUWWA walipokutana Oktoba, 8, 2019 Jijini
Dodoma.Sehemu
ya wajumbe wa kikao kazi cha kazi cha mapitio ya rasimu ya kipeperushi
cha taarifa/takwimu za hali halisi ya utekelezaji wa MTAKUWWA
wakifuatilia mada zilizowasilishwa wakati wa kikao hicho.Sehemu
ya wajumbe wa kikao kazi cha kazi cha mapitio ya rasimu ya kipeperushi
cha taarifa/takwimu za hali halisi ya utekelezaji wa MTAKUWWA
wakifuatilia mada zilizowasilishwa wakati wa kikao hicho.Baadhi
ya wajumbe walioshiriki katika kikao kazi cha kazi cha mapitio ya
rasimu ya kipeperushi cha taarifa/takwimu za hali halisi ya utekelezaji
wa MTAKUWWA wakichukua nukuu wakati wa kikao kazi hicho. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
0 comments:
Post a Comment