Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Songwe
Brigedia Jenerali Nicodemas Mwangela mara baada ya kuwasili katika
uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya kabla ya kuelekea mkoani
Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Tawala wa Mkoa wa
Songwe David Kafulila mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa
Songwe mkoani Mbeya kabla ya kuelekea mkoani Songwe kwa ajili ya ziara
ya kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wanahabari wa mkoa wa Mbeya
na Songwe mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe
mkoani Mbeya kabla ya kuelekea mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kikundi cha ngoma za asili mara baada
ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya wakati
akielekea mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Iyala Mbozi mkoani
Songwe wakati akielekea Mbozi mjini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ruanda mkoani
Mbozi. PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment