

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mathias Bazi
Kabunduguru kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Gerald Godfrey
Mweli kuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI anayeshugulikia Elimu katika hafla
fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ali Sakila
Bujiku kuwa Balozi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam.

Viongozi mbalimbali walioapishwa
kutoka kulia ni Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mathias Bazi
Kabunduguru, Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI Gerald Godfrey Mweli pamoja na
Balozi Ali Sakila Bujiku wakila kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma
mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.

Viongozi mbalimbali walioapishwa
kutoka kulia ni Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mathias Bazi
Kabunduguru, Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI Gerald Godfrey Mweli pamoja na
Balozi Ali Sakila Bujiku wakisaini Hati ya kiapo cha Maadili ya Viongozi
wa Umma mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya
kuwaapisha Viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma,
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Waziri wa Katiba na Sheria
Balozi Augustine Mahiga, Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mathias
Bazi Kabunduguru wapili kutoka (kushoto), Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI
Gerald Godfrey Mweli wa kwanza (kushoto), pamoja na Balozi Ali Sakila
Bujiku wakwanza (kulia) mara baada ya uapisho Ikulu jijini Dar es
Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpa sambusa Makamu wa
Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwaapisha Viongozi mbalimbali
katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment