Vijana wa Halaiki wakijenga maumbo mbalimbali wakati wa sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019

Wanenguaji wa Kundi la Tanzania One Theatre (TOT) wakitumbuiza kwenye sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa Jukwaa kuu na viongozi wengine wa kitaifa  sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alizoongoza katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge mwaka huu  Ndugu Mzee Mkongea Ally kwenye sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019.

Wabunge wa Lindi na Viongozi wengine wakiserebuka na Msanii Rajabu Abdul Kahali maarufu kama “Harmonize” ama “Konde Boy”  kwenye sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019