Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya
Kusini inayojengwa katika eneo la Mitengo, Mtwara Oktoba 2, 2019.
Viongozi na wananchi wakimsikiliza
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kukagua
ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini kwenye eneo la Mitenga,
Mtwara, Oktoba 2, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy
Mwalimu wakizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa (wa
tatu kulia), Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme (wa pili kulia) na
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi (kulia) wakati Waziri Mkuu
alipokagua ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini, eneo la
Mitengo Mtwara, Oktoba 2, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment