
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mkuu wa Utawala wa Ubalozi wa Tanzania nchini Urusi,
Asha Mkuja wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Demodedovo uliopo Moscow akiwa njiani kwenda Sicho nchini Urusi
kumwakilisha Rais, Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano baina ya
viongozi wa nchi na Serikali wa Afrika na Urusi, Oktoba 21, 2019.
Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Meja Jenerali Mstaafu,
Simon Marco Mumwi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipewa mkate na chumvi ikiwa ni utamaduni wa kukaribisha wageni wa
Warusi wakati alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Sicho nchini humo
Oktoba 21, 2019 ambako anamwakilisha Rais, Dkt. John Pombe Magufuli
katika mkutano baina ya wakuu wa nchi na Serikali wa Afrika na Urusi.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Meja Jenerali Mstaafu,
Simon Marco Mumwi (kushoto) na Mkuu wa Utawala wa Ubalozi wa Tanzania
nchini Urusi, Asha Mkuja wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Demodedovo uliopo Moscow akiwa njiani kwenda Sicho nchini
Urusi kumwakilisha Rais, Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano baina
ya Viongozi wa nchi na Serikali wa Afrika na Urusi, Oktoba 21,
209. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment