


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana kwa furaha na
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mhashamu Yuda Thadeus
Ruwa’ichi ambaye anapatiwa matibabu katika Taasisi hiyo ya Mifupa
Muhimbili (MOI) mara baada ya kufanyiwa upasuaji wa Kichwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza sala ya kumuombea
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mhashamu Yuda
Thadeus Ruwa’ichi ambaye anapatiwa matibabu katika Taasisi hiyo ya
Mifupa Muhimbili (MOI)


Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la
Dar es Salaam Mhashamu Yuda Thadeus Ruwa’ichi akimshukuru Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
ambaye alienda kumjulia hali katika Taasisi hiyo ya Mifupa Muhimbili
(MOI). Wakwanza kulia ni Askofu Msaidizi Eusebius Nzigilwa wa Jimbo Kuu
Katoliki Dar es Salaam, kushoto ni Padre Dkt. Alister Makubi Paroko wa
Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es
salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Askofu Msaidizi
Eusebius Nzigilwa wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam kulia, Padre
Dkt. Alister Makubi kushoto, Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu
Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es salaam
0 comments:
Post a Comment