Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji) Bi.Dorothy
Mwaluko akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa kikao cha Kamati Elekezi
ya Taifa ya Ulinzi wa Wanawake na Watoto kilichofanyika katika ukumbi
wa mikutano wa Magadu JWTZ mkoani Morogoro, kushoto ni Katibu mkuu
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. John
Jingu.Sehemu
ya wajumbe wa kikao cha Kamati Elekezi ya Taifa ya Ulinzi wa Wanawake
na Watoto wakifuatilia hoja za mwenyekiti wa kikao hicho ambaye ni
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji) Bi.Dorothy
Mwaluko (hayupo pichani).Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Amon Mpanju akichangia hoja
kuhusu sheria mbalimbali zinazowalinda watoto dhidi ya ukatili wakati wa
kikao hicho.????????????????????????????????????
Sehemu ya wajumbe wa sekretariati wakifuatilia hoja na michango ya wajumbe wakati wa kikao hicho.
Sehemu
ya wajumbe wa kikao cha Kamati Elekezi ya Taifa ya Ulinzi wa Wanawake
na Watoto wakifuatilia hoja za mwenyekiti wa kikao hicho ambaye ni
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji) Bi.Dorothy
Mwaluko (hayupo pichani). Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji) Bi.Dorothy
Mwaluko pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,
Wazee na Watoto Dkt. John Jingu wakipitia muhtasari wa kikao
kilichopita wakati kikao cha Kamati Elekezi ya Taifa ya Ulinzi wa
Wanawake na Watoto kilichofanyika mkoani Morogoro. Sehemu
ya wajumbe wa kikao cha Kamati Elekezi ya Taifa ya Ulinzi wa Wanawake
na Watoto wakifuatilia hoja za mwenyekiti wa kikao hicho ambaye ni
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji) Bi.Dorothy
Mwaluko (hayupo pichani) Mkurugenzi
wa Idara ya Sera na Mipango kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Atupele Mwambene akiwasilisha taarifa ya
Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto
wakati wa kikao hicho.Muwakilishi
kutoka Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Bi. Zainabu akieleza namna
wanavyotatua masuala ya ukatili dhidi ya wanawake na watoto kupitia
teknolojia ya mitandao wakati wa kikao hicho.Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji) Bi.Dorothy Mwaluko akiteta jambo na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishiwa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro mara baada ya kufunga kikao hicho.Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji) Bi.Dorothy Mwaluko (wa tatu kutoka kushoto) pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi
wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati), Katibu Mkuu Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Dkt. John Jingu (wa pili
kutoka kushoto), na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bw.Amon
Mpanju (wa tatu kutoka kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe
wa Kamati Elekezi ya Taifa ya Ulinzi wa Wanawake na Watoto mara baada ya
kumaliza kikao hicho. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
0 comments:
Post a Comment