Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Chama Kikuu cha Ushirika la Chato,
Charles Nyasi (kulia) wakati alipotembelea kiwanda cha kuchambua Pamba
cha Chama hicho, Septemba 21, 2019. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Geita,
Mhandisi Robert Gabriel na wa pili kushoto ni Waziri wa Nishati na
Mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza wanachama, na Viongozi wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Chato
pamoja na mwananchi kwenye kiwanda cha kuchambua Pamba cha chama hicho
kilichopo Chato mkoani Geita, Septemba 21, 2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Waziri wa Nishati na Mbunge wa Chato, Dkt. Medard
Kalemani wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Chato kuanza ziara
ya kikazi mkoani Geita, Septemba 21, 2019. Kushoto na Waziri wa Madini,
Doto Biteko na wa tatu kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Geita,
Said Kalidushi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama ngoma wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Chato
kuanza ziara ya kikazi mkoani Geita, Septemba 21, 2019.Kulia ni Mkuu wa
moa wa Geita, Mhadisi Robert Gabriel na kulia kwa Waziri Mkuu ni Waziri
wa Nishati na Mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani. (Picha naOfisi ya
Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama Pamba wakati alipotembelea maghala ya Kiwanda cha Kuchambua
Pamba cha Chama Kikuu cha Ushirika cha Chato mkoani Geita, Septemba 21,
2019. Kushoto ni Meneja wa Chama hicho, Charles Nyasi. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama kinu cha kuchambua pamba wakati alipotembelea Kiwanda cha
Kuchambua pamba cha Chama Kikuu cha Ushirika cha Chato , Septemba 21,
2019. Wengine pichani kutoka kushoto ni Waziri wa Nishati na mbunge wa
Chato, Dkt. Medard Kalemani, Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi, Robert
Gabriel na kulia ni Meneja wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Chato,
Charles Nyasi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 comments:
Post a Comment