RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifurahia wakati akivuna
mboga aina ya spinachi katika kitalu cha maoneshi ya JKU , kulia Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Alim Iddi.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwanafunzu
wa Chuo cha Kilimo Kizimbani Ndg. Faki Ali Faki na kulia Makamu wa Pili
wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiponyeza kitufe
kuashiria kuyafungua Maonesho ya Kilimo Zanzibar katika viwanja vya
Kizimbani Wilaya Magharibi “A” Unguja kulia Kaimu Waziri wa Kilimo
Maliasili, Mifugo na Uvivi Waziri wa Ujenzi Usafirishaji na
Mawasiliano,Mhe. Dkt Sira Ubwa Mwamboya.*(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika moja ya
Trekta lililotolewa Mkopo na Benki ya TAD kwa Vikundi vya Ushirika
Zanzibar, wakati wa hafla ya maonesho hayo yaliofanyika katika viwanja
vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi”A” Unguja leo.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabihi Ufungo wa
Treka Mwenyekiti wa Ushirika wa Kilimo Mkombozi cha Mkokotoni Ndg. Haji
Mashaka Omar,wakati wa hafla ya Maonesho ya Kilimo yaliofanyika katika
viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi”A” Unguja.(Picha na Ikulu)
0 comments:
Post a Comment