Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais
wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mara baada ya kuwasili
katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha mgeni wake
Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mara baada ya kuwasili
katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa
Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa wakati nyimbo za mataifa
mawili ya Tanzania na Afrika Kusini zikipigwa katika viwanja vya Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini
Cyril Ramaphosa akikagua Gwaride la Heshma aliloandaliwa na Jeshi la
Wananchi wa Tanzania mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa
Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa wakipunga mkono kwa wananchi
wakati wakielekea kwenye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuelekeza jambo Rais wa
Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimueleza jambo Rais wa
Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa kabla ya kumpa zawadi ya
Kinyago cha mpingo Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia zawadi ya picha
aliopewa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli. PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment