Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akipata maelezo ya kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Ndege nchini (ATCL) Mhandisi Ladislaus Matindi alipotembelea banda la
kampuni hiyo akiwa mgeni rasmi katika ufunguzi rasmi wa Maonesho ya
Maadhimisho ya Awamu ya Nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumattu Agosti 5,
2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipata maelezo ya maendeleo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki
ya CRDB Bw. Abdulmajid Nsekela katika banda la benki hiyo kabla ya
kuzindua rasmi maonesho ya Maadhimisho ya Awamu ya Nne ya Wiki ya
Viwanda kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)
katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam leo Agosti 5, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akipata maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa reli ya kisasa ya
SGR kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji waShirika la Reli Tanzania (TRC)
alipotembelea banda la kampuni hiyo akiwa mgeni rasmi katika ufunguzi
wa Maonesho ya Maadhimisho ya Awamu ya Nne ya Wiki ya Viwanda kwa
nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Jumattu Agosti 5, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiangalia kiatu wakati alipotembelea banda la Kiwanda cha Viatu cha
BORA kabla ya kuzindua rasmi maonesho ya Maadhimisho ya Awamu ya Nne
ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika
(SADC) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es salaam leo
Agosti 5, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipata maelezo ya wakati alipotembelea banda la Shirika la Umoja wa
Mataifa la Viwanda (UNIDO) kabla ya kuzindua rasmi maonesho ya
Maadhimisho ya Awamu ya Nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Agosti 5, 2019.

akifurahia burudani wakati akitembelea amabanda kabla ya kuzindua
rasmi maonesho ya Maadhimisho ya Awamu ya Nne ya Wiki ya Viwanda kwa
nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Agosti 5, 2019.
0 comments:
Post a Comment