METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, August 29, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa
Denmark hapa nchini Mhe. Mette Norgaard Dissing Spandet Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Denmark hapa nchini Mhe.
Mette Norgaard Dissing Spandet mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akimpongeza Balozi wa Angola hapa nchini Mhe. Sandro Renato
Agostinho De Oliveira mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Angola hapa nchini Mhe.
Sandro Renato Agostinho De Oliveira mara baada ya kupokea Hati zake za
Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mhe. Meja Jenerali
Anselem Nhamo Sanyatwe Balozi mteule wa Zimbabwe hapa nchini Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mhe. Sanjiv Kohli Balozi
wa India hapa nchini Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Zimbabwe hapa
nchini Mhe. Meja Jenerali Anselem Nhamo Sanyatwe mara baada ya kupokea Hati
zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com