Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Profesa
Palamagamba Kabudi (wapili kushoto) wakizungumza na Profesa Mark
Rweyemamu ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha SACIDS Foundation for
One Health chenye makao yake mkoani Morogoro (wapili kulia) na Profesa
Gerlad Masinzo ambaye ni Kiongozi wa Kituo hicho katika Mkutano wa Saba
wa TICAD unaoendelea kwenye Hoteli ya Pacifico Yokohama nchini Japan,
Agosti 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Thursday, August 29, 2019
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Mhe. Geoffrey Mwambe, akiwaongoza wataalamu kutoka Wizara hiyo, Wizara ya Mifugo na Uvuvi...
-
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mheshimiwa Ummy A. Mwalimu anapenda kutoa ufafanuzi kuhusu Tamko la Shiri...
-
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama akisalimiana na baadhi ya Viongo...
-
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema anakatishwa tamaa na viongozi wengi duniani ambao hujali zaidi ...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment