Mshambuliaji Sadio Mane
akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 45 na
ushei katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Southampton kwenye mchezo
wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa St Mary’s. Bao la pili la Liverpool
limefungwa na Roberto Firmino dakika ya 71 kabla ya Danny Ings
kuifungia Southampton bao la kufutia machozi dakika ya 83 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
Saturday, August 17, 2019
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda Kizza Besigye amekamatwa tena na maafisa wa polisi. ...
-
MKURUGENZI wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Tanzania (DCI), Robert Boaz Mikomangwa amesema Jeshi la Polisi nchini Tanzania na vyombo vingi...
-
Mkuu wa Wilaya ya Songwe Samuel Jeremia Opulukwa akinawa mikono kabla ya kuingia katika Zahanati ya Saza itakayotumika kutibu endapo ata...
-
Naibu waziri Kilimo Mhe. Omari T. Mgumba (Mb) akiwa ofisi ya mkuu wa mkoa wa arusha alipokutana na wataalamu wa kilimo ,ushirika na ...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment