Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Rais wa Rwanda Paul Kagame mjini Kigali aliko mwakilisha
Rais Dkt . John Pombe Magufuli katika sherehe za miaka 25 ya Ukombozi
wa Nchi hiyo .Julai 4/2019 anayeshudia ni Rais wa Sierra leon Mh Mada
Bio
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa amejumuika na Viongozi wenzake katika Maadhimisho ya miaka 25 ya Ukombozi wa Rwanda
Askari wa JWTZ wakiwa katika sherehe ya miaka 25 ya Ukombozi wa Rwanda
0 comments:
Post a Comment