Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni
wake Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta katika
uwanja wa ndege wa Chato mara baada ya kumaliza ziara yake
binafsi ya siku mbili Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni
wake Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta wakati
wakipita kwenye Gadi ya Heshma iliyoandaliwa na Jeshi la
Wananchi wa Tanzania JWTZ katika uwanja wa Ndege wa
Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta wakati
wakisikiliza nyimbo iliyokuwa ikiimbwa na wanakwaya wa
Mwagazege ya Chato kabla ya Rais Kenyatta kuondoka na
kurejea nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na mgeni wake
Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta Chato mkoani
Geita.
Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru
Kenyatta akimsalimia Mama mzazi Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli, Bibi Suzana Magufuli ambaye anapatiwa matibabu
kijijini kwake Mlimani Chato mkoani Geita kabla ya kuondoka
kurejea Kenya mara baada ya kumaliza ziara yake binafsi ya
siku mbili.
Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta
akizungumza na wanahabari mara baada ya mazungumzo yake
na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta
akiweka shada la maua katika moja ya makaburi ya Familia ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli yaliyopo katika kijiji cha Mlimani Chato
wakati akiwa katika ziara yake binafsi ya siku mbili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na
mgeni wake Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta kabla
ya kuanza mazungumzo yao Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na mgeni wake Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru
Kenyatta mara baada ya mazungumzo yao Chato mkoani
Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na mgeni wake Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru
Kenyatta ambaye aliambatana na ujumbe wake kutoka Kenya
katika ziara yake binafsi ya siku mbili katika kijiji cha Mlimani
Chato Mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta ambaye aliambatana na ujumbe wake kutoka Kenya katika ziara yake binafsi ya siku mbili katika kijiji cha Mlimani Chato Mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpungia mkono mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati akipanda ndege kurejea nchini Kenya. PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment