Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma akitokea jijini Mwanza ambapo
leo tarehe 16 julai 2019 ameendesha Kikao cha Kamati Kuu ya ccm
kilichofanyika Makao Makuu ya CCM katika ukumbi wa halmashauri ya ccm
jijini Dodoma
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya ccm kilichofanyika Makao Makuu ya CCM
katika ukumbi wa Halmashauri ya CCM jijini Dodoma (PICHA NA IKULU)
0 comments:
Post a Comment