METDO Tanzania

METDO Tanzania

Saturday, July 13, 2019

MAJALIWA AMPOKEA KATIBU WA MBUNGE WA KIGOMA MJINI ZITTO KABWE ALIYERJIUNGA NA CCM

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpokea Bw. Damas Shaltiel ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Kabwe aliyekihama Chama cha ACT Wazalendo na kujiunga na CCM baada ya Waziri Mkuu kuhutubia Kongamano lililoandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, Julai 13, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha  kadi ya ACT Wazalendo ya Bw. Damas Shaltiel (kushoto)  ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe baada ya katibu huyo kukihama chama hicho na kujiunga na CCM baada ya Mheshimiwa Majaliwa kuhutubia Kongamano lililoandaliwa na Umoja wa  Wanawake Tanzania (UWT) kwenye uwanja  wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, Julai 13, 2019.Kulia ni Mwenyekiti wa UWT, Gaudencia Kabaka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi kadi ya CCM, Bw. Damas Shaltiel ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Kabwe aliyekihama Chama cha ACT Wazalendo na kujiunga na CCM baada ya Waziri Mkuu kuhutubia Kongamano lililoandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, Julai 13, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com