Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Stella Ikupa
akizungumza katika Kongamano la Wanawake (UWT) lililohutubiwa na Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma,
Julai 13, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Gaudencia Kabaka
wakitazama hot pot lililotengenezwa kwa mbao wakati alipohutubia katika
Kongamano la Wanawake kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma
Julai 13, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya wananchi wa Kigoma
wakimsikiliza Mgeni Rasmi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipozungumza katika Kongamano la Wanawake (UWT) kwenye Uwanja wa Lake
Tanganyika Julai 13, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akihutubia katika Kongamano la Wanawake (UWT) kwenye uwanja wa Lake
Tanganyika mjini Kigoma, Julai 13, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment