Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Injinia Isaack Kamwelwe akikata
keki wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa safari ya Mumbai nchini
India kwa ndege ya Air Tanzania ikiwa ni safari ya kwanza kwa ndege za
Air Tanzania kutoka nje ya Bara la Afrika na ni safari ya moja kwa moja
kutokea Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam.Ndege ya kwanza ya Air Tanzania imeondoka Julai 17, 2019 kuelekea
Mumbai, nchini India.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Injinia Isaack Kamwelwe akikata
utepe wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa safari ya Mumbai nchini
India kwa ndege ya Air Tanzania ikiwa ni
safari
ya kwanza kwa ndege za Air Tanzania kutoka nje ya Bara la Afrika na ni
safari ya moja kwa moja kutokea Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam. Ndege ya kwanza ya Air Tanzania imeondoka
Julai 17, 2019 kuelekea Mumbai, nchini India.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Air Tanzania, Ladislaus Matindi akizungumza wakati wa hafla
fupi ya uzinduzi rasmi wa safari ya Mumbai nchini India kwa ndege ya
Air Tanzania ikiwa ni safari ya kwanza kwa ndege za Air Tanzania kutoka
nje ya Bara la Afrika na ni safari ya moja kwa moja kutokea Uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Ndege ya
kwanza ya Air Tanzania imeondoka Julai 17, 2019 kuelekea Mumbai, nchini
India.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Injinia Isaack Kamwelwe akizungumza
wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa safari ya Mumbai nchini India
kwa ndege ya Air Tanzania ikiwa ni safari ya kwanza kwa ndege za Air
Tanzania kutoka nje ya Bara la Afrika na ni safari ya moja kwa moja
kutokea Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam. Ndege ya kwanza ya Air Tanzania imeondoka Julai 17, 2019
kuelekea Mumbai, nchini India.
0 comments:
Post a Comment