METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, June 24, 2019

WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MKUU WA WILAYA YA CHEMBA SIMON ODUNGA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimjulia hali Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga, aliyelazwa, katika Hospitali ya Mkoa, jijini Dodoma, Juni 24.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi waliyofika kupata huduma, katika Hospitali ya Mkoa, jijini Dodoma, Juni 24.2019, baada ya kumjulia hali Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga, aliyelazwa hospitalini hapo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2025 WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com