METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, June 4, 2019

SPIKA JOB NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI TAASISI YA KINGDOM LEADERSHIP NETWORK TANZANIA JIJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi kutoka Taasisi ya Kidini ya Kingdom leadership Network Tanzania (KLNT), Mhe. Ibrahim Kaduma alipomtembelea leo nyumbani kwake Kisasa Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi kutoka Taasisi ya Kidini ya Kingdom leadership Network Tanzania (KLNT), Mhe. Ibrahim Kaduma alipomtembelea leo nyumbani kwake Kisasa Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na viongozi wakuu kutoka Taasisi ya Kidini ya Kingdom leadership Network Tanzania (KLNT), walioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com